108 african appropriations
Salama Safely
Waliposafiri walikunywa na
kulewa kushangilia ya kwamba
TitanikiOn the journey they got drunk to
celebrate because the TitanicHaizami Cannot sink
Na kumbe mbele yao kulikuwa na
wa hatari ya kutishaAnd then ahead of them was
dreadful danger
Na kumbe mbele yao kulikuwa na
wa hatari ya kutishaAnd then ahead of them was
dreadful danger
Na kumbe mbele yao kulikuwa na
wa hatari ya kutishaAnd then ahead of them was
dreadful danger
Na kumbe mbele yao kulikuwa na
wa hatari ya kutishaAnd then ahead of them was
dreadful dangerWalipoona ya kwamba mbele yao
kuna hatariW hen they saw that ahead of them
was danger
Nahodha na wasafiri hawakujali
hiloThe captain and the passengers
were not bothered
Walisema: Titaniki They said: the Titanic
Haizami Cannot sink
Waligonga mwamba, bum, na meli
ilizamaThey hit a rock, bang!, and the ship
sank
Titanic kweli ilizama, na watu pia
waliangamiaThe Titanic truly sank and the
passengers drowned, too
Titanic kweli ilizama, na watu pia
waliangamiaThe Titanic truly sank and the
passengers drowned, too
Titanic kweli ilizama, na watu pia
waliangamiaThe Titanic truly sank and the
passengers drowned, tooNa sasa dunia yetu ndio
Titaniki inakaribia kuzama, ni
hakikaAnd now our world is the Titanic
about to sink, it is trueMwenzangu My friend
Hata kama watu ni wagumu
kukubali kwamba dunia yaisha
Mwisho wakeAnd even if people find it hard to
accept that the world is endingNi hakika It is true
Dunia yaenda kuzama The world is going to sink
Na watu waenda kuangamia And human beings are going to
perish